Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 49 - صٓ - Page - Juz 23
﴿هَٰذَا ذِكۡرٞۚ وَإِنَّ لِلۡمُتَّقِينَ لَحُسۡنَ مَـَٔابٖ ﴾
[صٓ: 49]
﴿هذا ذكر وإن للمتقين لحسن مآب﴾ [صٓ: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hii Qur’ani ni utajo na utukufu kwako, ewe Mtume, na kwa watu wako. Na wale watu wa uchaji Mwenyezi Mungu na utiifu Kwake watakuwa na mwisho mwema kwetu sisi |