Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 48 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَٱذۡكُرۡ إِسۡمَٰعِيلَ وَٱلۡيَسَعَ وَذَا ٱلۡكِفۡلِۖ وَكُلّٞ مِّنَ ٱلۡأَخۡيَارِ ﴾
[صٓ: 48]
﴿واذكر إسماعيل واليسع وذا الكفل وكل من الأخيار﴾ [صٓ: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakumbuke, ewe Mtume, waja wetu: Ismā'īl, Ilyasa' na Dhulkifl kwa utajo mzuri sana. Na kila mmoja miongoni mwao ni katika watu wema ambao Mwenyezi Mungu Aliwachagua miongoni mwa viumbe na Akawachagulia hali na sifa kamilifu kabisa |