Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 52 - صٓ - Page - Juz 23
﴿۞ وَعِندَهُمۡ قَٰصِرَٰتُ ٱلطَّرۡفِ أَتۡرَابٌ ﴾
[صٓ: 52]
﴿وعندهم قاصرات الطرف أتراب﴾ [صٓ: 52]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na huko watakuwa nao wanawake ambao macho yao yanawatazama waume zao tu hali wakiwa marika na wao kimiaka |