Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 51 - صٓ - Page - Juz 23
﴿مُتَّكِـِٔينَ فِيهَا يَدۡعُونَ فِيهَا بِفَٰكِهَةٖ كَثِيرَةٖ وَشَرَابٖ ﴾
[صٓ: 51]
﴿متكئين فيها يدعون فيها بفاكهة كثيرة وشراب﴾ [صٓ: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr watakuwa ni wenye kutegemea kwenye Pepo hizo juu ya viti vya fahari vilivyopambwa, watataka na kupatiwa kila wanachokitamani miongoni mwa aina nyingi za matunda na vinywaji, kutokana na kila ambacho nafsi zao zitakitamani na macho yao yatapendezwa nacho |