Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 74 - صٓ - Page - Juz 23
﴿إِلَّآ إِبۡلِيسَ ٱسۡتَكۡبَرَ وَكَانَ مِنَ ٱلۡكَٰفِرِينَ ﴾
[صٓ: 74]
﴿إلا إبليس استكبر وكان من الكافرين﴾ [صٓ: 74]
Abdullah Muhammad Abu Bakr isipokuwa Iblisi Yeye hakusujudu kwa ujeuri na kiburi, na alikuwa, katika ujuzi wa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, ni miongoni mwa makafiri |