Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 19 - الزُّمَر - Page - Juz 23
﴿أَفَمَنۡ حَقَّ عَلَيۡهِ كَلِمَةُ ٱلۡعَذَابِ أَفَأَنتَ تُنقِذُ مَن فِي ٱلنَّارِ ﴾
[الزُّمَر: 19]
﴿أفمن حق عليه كلمة العذاب أفأنت تنقذ من في النار﴾ [الزُّمَر: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, yule ambaye lilipasa juu yake neno la adhabu, kwa kuendelea kwenye upotevu na upotovu wake, kwani huna, ewe Mtume, njia yoyote ya kumuongoa. Je, unaweza kumuokoa aliye Motoni? Wewe si mwenye kuweza hilo |