×

Basi Mwenyezi Mungu akawaonjesha hizaya katika uhai wa duniani. Na bila ya 39:26 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zumar ⮕ (39:26) ayat 26 in Swahili

39:26 Surah Az-Zumar ayat 26 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 26 - الزُّمَر - Page - Juz 23

﴿فَأَذَاقَهُمُ ٱللَّهُ ٱلۡخِزۡيَ فِي ٱلۡحَيَوٰةِ ٱلدُّنۡيَاۖ وَلَعَذَابُ ٱلۡأٓخِرَةِ أَكۡبَرُۚ لَوۡ كَانُواْ يَعۡلَمُونَ ﴾
[الزُّمَر: 26]

Basi Mwenyezi Mungu akawaonjesha hizaya katika uhai wa duniani. Na bila ya shaka adhabu ya Akhera ni kubwa zaidi; laiti wangeli jua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فأذاقهم الله الخزي في الحياة الدنيا ولعذاب الآخرة أكبر لو كانوا يعلمون, باللغة السواحيلية

﴿فأذاقهم الله الخزي في الحياة الدنيا ولعذاب الآخرة أكبر لو كانوا يعلمون﴾ [الزُّمَر: 26]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Basi Mwenyezi Mungu Akawaonjesha ummah waliokanusha adhabu na unyonge duniani, na Akawaandalia adhabu kali zaidi na ngumu zaidi huko Akhera. Lau hawa washirikina wangalijua, kuwa kile kilichowashukia ni kwa sababu ya ukafiri wao na ukanushaji wao, wangaliwaidhika
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek