Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 132 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿وَلِلَّهِ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ وَكِيلًا ﴾
[النِّسَاء: 132]
﴿ولله ما في السموات وما في الأرض وكفى بالله وكيلا﴾ [النِّسَاء: 132]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni milki ya Mwenyezi Mungu viumbe vilivyoko katika ulimwengu huu. Na inatosha kuwa Yeye, Aliyetakasika na kila sifa pungufu, ni Msimamizi na Mtunzi wa mambo ya viumbe Vyake |