×

Anaye taka malipo ya dunia, basi kwa Mwenyezi Mungu yapo malipo ya 4:134 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:134) ayat 134 in Swahili

4:134 Surah An-Nisa’ ayat 134 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 134 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿مَّن كَانَ يُرِيدُ ثَوَابَ ٱلدُّنۡيَا فَعِندَ ٱللَّهِ ثَوَابُ ٱلدُّنۡيَا وَٱلۡأٓخِرَةِۚ وَكَانَ ٱللَّهُ سَمِيعَۢا بَصِيرٗا ﴾
[النِّسَاء: 134]

Anaye taka malipo ya dunia, basi kwa Mwenyezi Mungu yapo malipo ya dunia na Akhera. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona

❮ Previous Next ❯

ترجمة: من كان يريد ثواب الدنيا فعند الله ثواب الدنيا والآخرة وكان الله, باللغة السواحيلية

﴿من كان يريد ثواب الدنيا فعند الله ثواب الدنيا والآخرة وكان الله﴾ [النِّسَاء: 134]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenye kuwa na hamu miongoni mwenu, enyi watu, ya kupata malipo ya duniani na akaipa mgongo Akhera, basi mbele ya Mwenyezi Mungu kuna malipo ya dunia na Akhera. Basi na atake kutoka kwa Mwenyezi Mungu , Peke Yake, wema wa dunia na Akhera, kwani Yeye Ndiye Anayevimiliki hivyo viwili. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyasikia maneno ya waja Wake, ni Mwenye kuziona nia zao na vitendo vyao, na Atawalipa kwa hayo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek