Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 50 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿ٱنظُرۡ كَيۡفَ يَفۡتَرُونَ عَلَى ٱللَّهِ ٱلۡكَذِبَۖ وَكَفَىٰ بِهِۦٓ إِثۡمٗا مُّبِينًا ﴾
[النِّسَاء: 50]
﴿انظر كيف يفترون على الله الكذب وكفى به إثما مبينا﴾ [النِّسَاء: 50]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watazame, ewe Mtume, kwa kuyaonea ajabu mambo yao, vipi wanamzulia Mwenyezi Mungu urongo, na hali Yeye Ndiye Anayetakaswa na kila lisilokuwa laiki na Yeye? Uzushi huu unatosha kuwa ni dhambi kubwa lenye kuonyesha wazi itikadi yao mbovu |