Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 70 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿ذَٰلِكَ ٱلۡفَضۡلُ مِنَ ٱللَّهِۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ عَلِيمٗا ﴾
[النِّسَاء: 70]
﴿ذلك الفضل من الله وكفى بالله عليما﴾ [النِّسَاء: 70]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Vipewa vingi hivyo vinatoka kwa Mwenyezi Mungu Peke Yake. Na inatosha kuwa Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Anazijua hali za waja Wake na Anawajua wenye kustahiki thawabu nyingi kati yao kwa matendo mema waliyoyafanya |