Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 69 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿أَلَمۡ تَرَ إِلَى ٱلَّذِينَ يُجَٰدِلُونَ فِيٓ ءَايَٰتِ ٱللَّهِ أَنَّىٰ يُصۡرَفُونَ ﴾
[غَافِر: 69]
﴿ألم تر إلى الذين يجادلون في آيات الله أنى يصرفون﴾ [غَافِر: 69]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, huwaonei ajabu, ewe Mtume, hawa wakanushaji wa aya za Mwenyezi Mungu vile wanavyoshindana nazo, na hali hizo ziko wazi katika kutolea ushahidi upweke wa Mwenyezi Mungu na uweza Wake, ni vipi wao wanaziepuka pamoja na usahihi wake? Na wataenda kwenye kitu gani baada ya huu ufafanuzi kamili |