Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 18 - فُصِّلَت - Page - Juz 24
﴿وَنَجَّيۡنَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَكَانُواْ يَتَّقُونَ ﴾
[فُصِّلَت: 18]
﴿ونجينا الذين آمنوا وكانوا يتقون﴾ [فُصِّلَت: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukawaokoa wale walioamini kutokana na adhabu iliyowapata kina 'Ād na Thamūd. Na hawa waliookoka walikuwa wanamuogopa Mwenyezi Mungu na kumcha |