Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 19 - فُصِّلَت - Page - Juz 24
﴿وَيَوۡمَ يُحۡشَرُ أَعۡدَآءُ ٱللَّهِ إِلَى ٱلنَّارِ فَهُمۡ يُوزَعُونَ ﴾
[فُصِّلَت: 19]
﴿ويوم يحشر أعداء الله إلى النار فهم يوزعون﴾ [فُصِّلَت: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Siku ambayo maadui wa Mwenyezi Mungu watakusanywa wapelekwe kwenye Moto wa Jahanamu, Malaika wa adhabu watawarudisha wa mwanzo wao wawakusanye na wa mwisho wao |