Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 36 - فُصِّلَت - Page - Juz 24
﴿وَإِمَّا يَنزَغَنَّكَ مِنَ ٱلشَّيۡطَٰنِ نَزۡغٞ فَٱسۡتَعِذۡ بِٱللَّهِۖ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلسَّمِيعُ ٱلۡعَلِيمُ ﴾
[فُصِّلَت: 36]
﴿وإما ينـزغنك من الشيطان نـزغ فاستعذ بالله إنه هو السميع العليم﴾ [فُصِّلَت: 36]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Shetani anapotia ndani ya nafsi yako ushawishi wa mawazo ya kukufanya umlipe mbaya kwa ubaya, basi omba himaya ya Mwenyezi Mungu na ushikamane na Yeye. Kwani Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia sana maombi yako ya kujilinda Kwake, ni Mwenye kuyajua sana mambo ya viumbe Vyake vyote |