×

Lakini hawapewi wema huu ila wanao subiri, wala hawapewi ila wenye bahati 41:35 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Fussilat ⮕ (41:35) ayat 35 in Swahili

41:35 Surah Fussilat ayat 35 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 35 - فُصِّلَت - Page - Juz 24

﴿وَمَا يُلَقَّىٰهَآ إِلَّا ٱلَّذِينَ صَبَرُواْ وَمَا يُلَقَّىٰهَآ إِلَّا ذُو حَظٍّ عَظِيمٖ ﴾
[فُصِّلَت: 35]

Lakini hawapewi wema huu ila wanao subiri, wala hawapewi ila wenye bahati kubwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما يلقاها إلا الذين صبروا وما يلقاها إلا ذو حظ عظيم, باللغة السواحيلية

﴿وما يلقاها إلا الذين صبروا وما يلقاها إلا ذو حظ عظيم﴾ [فُصِّلَت: 35]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hawaafikiwi kwenye mambo haya yanayosifika vyema isipokuwa wale wanaojisubirisha juu ya mambo ambayo nafsi zao zinayachukia na wakajilazimisha kwa yale Anayoyapenda Mwenyezi Mungu. Na haafikiwi hayo isipokuwa mwenye fungu kubwa la hali njema ya duniani na Akhera
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek