×

Na mkikhitalifiana katika jambo lolote, basi hukumu yake iko kwa Mwenyezi Mungu. 42:10 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:10) ayat 10 in Swahili

42:10 Surah Ash-Shura ayat 10 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 10 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿وَمَا ٱخۡتَلَفۡتُمۡ فِيهِ مِن شَيۡءٖ فَحُكۡمُهُۥٓ إِلَى ٱللَّهِۚ ذَٰلِكُمُ ٱللَّهُ رَبِّي عَلَيۡهِ تَوَكَّلۡتُ وَإِلَيۡهِ أُنِيبُ ﴾
[الشُّوري: 10]

Na mkikhitalifiana katika jambo lolote, basi hukumu yake iko kwa Mwenyezi Mungu. Huyo Mwenyezi Mungu ndiye Mola wangu Mlezi, ninaye mtegemea na kwake Yeye narejea

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما اختلفتم فيه من شيء فحكمه إلى الله ذلكم الله ربي عليه, باللغة السواحيلية

﴿وما اختلفتم فيه من شيء فحكمه إلى الله ذلكم الله ربي عليه﴾ [الشُّوري: 10]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kitu chochote kile mnachotafautiana kwacho , enyi watu, miongoni mwa mambo ya dini yenu, basi hukumu irudishwe kwa Mwenyezi Mungu katika Kitabu Chake na Sunnah ya Mtume Wake, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie. Huyo Ndiye Mwenyezi Mungu, Mola wangu na Mola wenu, Kwake Yeye nimetegemea katika mambo yangu, na Kwake Yeye ninarejea katika hali zangu zote
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek