×

Wala hawatakuwa na walinzi wa kuwanusuru mbele ya Mwenyezi Mungu. Na ambaye 42:46 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:46) ayat 46 in Swahili

42:46 Surah Ash-Shura ayat 46 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 46 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿وَمَا كَانَ لَهُم مِّنۡ أَوۡلِيَآءَ يَنصُرُونَهُم مِّن دُونِ ٱللَّهِۗ وَمَن يُضۡلِلِ ٱللَّهُ فَمَا لَهُۥ مِن سَبِيلٍ ﴾
[الشُّوري: 46]

Wala hawatakuwa na walinzi wa kuwanusuru mbele ya Mwenyezi Mungu. Na ambaye Mwenyezi Mungu amemwacha kupotea, hana njia yoyote

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما كان لهم من أولياء ينصرونهم من دون الله ومن يضلل الله, باللغة السواحيلية

﴿وما كان لهم من أولياء ينصرونهم من دون الله ومن يضلل الله﴾ [الشُّوري: 46]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hawa wenye kukanusha, Atakapowaadhibu Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama, hawatakuwa na wasaidizi na waokozi wenye kuwanusuru kutokana na adhabu ya Mwenyezi Mungu. Na yoyote yule ambaye Mwenyezi Mungu Amempoteza kwa sababu ya ukanushaji wake na udhalimu, hatakuwa na njia yenye kumfikisha kwenye haki hapa duniani, na kwenye Pepo kesho Akhera, kwa kuwa yeye atakuwa amezibiwa njia za kuokoka, kwani kuongoza na kupoteza viko mkononi mwa Mwenyezi Mungu, kutakasika na kutukuka ni Kwake, na haviko kwa mwingine
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek