×

Muitikieni Mola wenu Mlezi kabla haijafika siku isiyo epukika itokayo kwa Mwenyezi 42:47 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:47) ayat 47 in Swahili

42:47 Surah Ash-Shura ayat 47 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 47 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿ٱسۡتَجِيبُواْ لِرَبِّكُم مِّن قَبۡلِ أَن يَأۡتِيَ يَوۡمٞ لَّا مَرَدَّ لَهُۥ مِنَ ٱللَّهِۚ مَا لَكُم مِّن مَّلۡجَإٖ يَوۡمَئِذٖ وَمَا لَكُم مِّن نَّكِيرٖ ﴾
[الشُّوري: 47]

Muitikieni Mola wenu Mlezi kabla haijafika siku isiyo epukika itokayo kwa Mwenyezi Mungu. Siku hiyo hamtakuwa pa kukimbilia wala hamtakuwa na cha kukingia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: استجيبوا لربكم من قبل أن يأتي يوم لا مرد له من الله, باللغة السواحيلية

﴿استجيبوا لربكم من قبل أن يأتي يوم لا مرد له من الله﴾ [الشُّوري: 47]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Itikieni mwito wa Mola wenu, enyi wenye kukanusha, kwa kuamini na kutii kabla haijaja Siku ya Kiyama ambayo haimkiniki kuirudisha. Siku hiyo hamtakuwa na mahali pa kukimbilia penye kuwaokoa na adhabu wala mahali pa kuwasitiri mkawa hamtambulikani hapo. Katika aya hii pana dalili ya ubaya wa kuchelewesha, na pana maamrisho ya kuharakisha kufanya kila tendo zuri linalomtokea mja, kwani kuchelewesha kuna athari mbaya na vizuizi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek