Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 21 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿أَمۡ ءَاتَيۡنَٰهُمۡ كِتَٰبٗا مِّن قَبۡلِهِۦ فَهُم بِهِۦ مُسۡتَمۡسِكُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 21]
﴿أم آتيناهم كتابا من قبله فهم به مستمسكون﴾ [الزُّخرُف: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, walishuhudia uumbaji wa Malaika au tuliwapatia kitabu kabla ya hii Qur’ani tuliyoiteremsha, wakawa wameshikamana nacho, wakifanyia kazi na wanajijengea kwa hicho hoja za kukupinga, ewe Mtume |