×

Na waulize Mitume wetu tulio watuma kabla yako: Je! Tulifanya miungu mingine 43:45 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:45) ayat 45 in Swahili

43:45 Surah Az-Zukhruf ayat 45 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 45 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿وَسۡـَٔلۡ مَنۡ أَرۡسَلۡنَا مِن قَبۡلِكَ مِن رُّسُلِنَآ أَجَعَلۡنَا مِن دُونِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ءَالِهَةٗ يُعۡبَدُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 45]

Na waulize Mitume wetu tulio watuma kabla yako: Je! Tulifanya miungu mingine iabudiwe badala ya Rah'mani

❮ Previous Next ❯

ترجمة: واسأل من أرسلنا من قبلك من رسلنا أجعلنا من دون الرحمن آلهة, باللغة السواحيلية

﴿واسأل من أرسلنا من قبلك من رسلنا أجعلنا من دون الرحمن آلهة﴾ [الزُّخرُف: 45]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na uwaulize, ewe Mtume, wafuasi wa wale tuliowatumiliza kabla yako miongoni mwa Mitume wetu na wabebaji sheria zao, «Je walikuja Mitume wao na ujumbe wa kuabudiwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu?” Wao watakupasha habari kuwa hilo halikutukia, kwani Mitume wote walilingania kile ulichowaitia watu cha kumuabudu Mwenyezi Mungu, Peke Yake Asiye na mshirika, na wakakataza kuabudiwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek