Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 28 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿كَذَٰلِكَۖ وَأَوۡرَثۡنَٰهَا قَوۡمًا ءَاخَرِينَ ﴾
[الدُّخان: 28]
﴿كذلك وأورثناها قوما آخرين﴾ [الدُّخان: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mfano wa mateso hayo ndivyo Mwenyezi Mungu Anavyowatesa wenye kukanusha na kubadilisha neema za Mwenyezi Mungu kwa kuzikanusha. Na tuliwarithisha neema hizo, baada ya Fir’awn na watu wake, watu wengine waliokuja baada yao wakashika nafasi yao miongoni mwa Wana wa Isrāīl |