Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 51 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي مَقَامٍ أَمِينٖ ﴾
[الدُّخان: 51]
﴿إن المتقين في مقام أمين﴾ [الدُّخان: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika ya wale wanaomcha Mwenyezi Mungu, kwa kufuata amri Zake na kujiepusha na makatazo yake duniani, watakuwa na mahali pa kukaa, hali ya kuwa wameaminika na magonjwa, masikitiko na mengineyo |