Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 50 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿إِنَّ هَٰذَا مَا كُنتُم بِهِۦ تَمۡتَرُونَ ﴾
[الدُّخان: 50]
﴿إن هذا ما كنتم به تمترون﴾ [الدُّخان: 50]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika adhabu hii mnayoadhibiwa kwayo Leo, ndiyo ile adhabu mliokuwa mna shaka nayo duniani na mkawa hamuiamini |