Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 9 - مُحمد - Page - Juz 26
﴿ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمۡ كَرِهُواْ مَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ فَأَحۡبَطَ أَعۡمَٰلَهُمۡ ﴾
[مُحمد: 9]
﴿ذلك بأنهم كرهوا ما أنـزل الله فأحبط أعمالهم﴾ [مُحمد: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hayo ni kwa sababu wao walikichukia Kitabu cha Mwenyezi Mungu kilichoteremshwa kwa Mtume Wake Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, wakakikanusha, na Mwenyezi Mungu akayatangua matendo yao kwa kuwa yalikuwa katika kumtii Shetani |