Quran with Swahili translation - Surah Al-Fath ayat 19 - الفَتح - Page - Juz 26
﴿وَمَغَانِمَ كَثِيرَةٗ يَأۡخُذُونَهَاۗ وَكَانَ ٱللَّهُ عَزِيزًا حَكِيمٗا ﴾
[الفَتح: 19]
﴿ومغانم كثيرة يأخذونها وكان الله عزيزا حكيما﴾ [الفَتح: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na ngawira nyingi za mali za Mayahudi wa Khaybar walizozichukua. Na Mwenyezi Mungu ni Mshindi katika kuwatesa maadui Zake, ni Mwingi wa hekimakatika kuendesha mambo ya viumbe Vyake |