Quran with Swahili translation - Surah Al-Fath ayat 23 - الفَتح - Page - Juz 26
﴿سُنَّةَ ٱللَّهِ ٱلَّتِي قَدۡ خَلَتۡ مِن قَبۡلُۖ وَلَن تَجِدَ لِسُنَّةِ ٱللَّهِ تَبۡدِيلٗا ﴾
[الفَتح: 23]
﴿سنة الله التي قد خلت من قبل ولن تجد لسنة الله تبديلا﴾ [الفَتح: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Huo ndio mpango wa Mwenyezi Mungu Alioupanga kwa viumbe Vyake hapo tangu kuwa Atawanusuru askari Wake na Atawashindisha maadui Wake, na hutapata, ewe Nabii, katika mipango ya Mwenyezi Mungu mabadiliko |