×

Na lau makafiri wangeli pigana nanyi basi bila ya shaka wangeli geuza 48:22 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Fath ⮕ (48:22) ayat 22 in Swahili

48:22 Surah Al-Fath ayat 22 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Fath ayat 22 - الفَتح - Page - Juz 26

﴿وَلَوۡ قَٰتَلَكُمُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ لَوَلَّوُاْ ٱلۡأَدۡبَٰرَ ثُمَّ لَا يَجِدُونَ وَلِيّٗا وَلَا نَصِيرٗا ﴾
[الفَتح: 22]

Na lau makafiri wangeli pigana nanyi basi bila ya shaka wangeli geuza migongo, kisha wasingeli pata mlinzi wala msaidizi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولو قاتلكم الذين كفروا لولوا الأدبار ثم لا يجدون وليا ولا نصيرا, باللغة السواحيلية

﴿ولو قاتلكم الذين كفروا لولوا الأدبار ثم لا يجدون وليا ولا نصيرا﴾ [الفَتح: 22]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na lau makafiri wa Makkah wangalipigana vita na nyinyi, wangalishindwa na nyinyi na wangaliwapa migongo yao kama vile anavyofanya anayeshindwa vitani, kisha hawatapata, asiyekuwa Mwenyezi Mungu, rafiki wa kushikana na wao kuwapiga vita nyinyi wala msaidizi wa kuwasaidia wao wapigane na nyinyi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek