×

Sema: Ati ndio mnamfundisha Mwenyezi Mungu Dini yenu, na hali Mwenyezi Mungu 49:16 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hujurat ⮕ (49:16) ayat 16 in Swahili

49:16 Surah Al-hujurat ayat 16 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hujurat ayat 16 - الحُجُرَات - Page - Juz 26

﴿قُلۡ أَتُعَلِّمُونَ ٱللَّهَ بِدِينِكُمۡ وَٱللَّهُ يَعۡلَمُ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۚ وَٱللَّهُ بِكُلِّ شَيۡءٍ عَلِيمٞ ﴾
[الحُجُرَات: 16]

Sema: Ati ndio mnamfundisha Mwenyezi Mungu Dini yenu, na hali Mwenyezi Mungu anayajua ya katika mbingu na ardhi, na Mwenyezi Mungu anajua kila kitu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قل أتعلمون الله بدينكم والله يعلم ما في السموات وما في الأرض, باللغة السواحيلية

﴿قل أتعلمون الله بدينكم والله يعلم ما في السموات وما في الأرض﴾ [الحُجُرَات: 16]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Waambie, ewe Mtume, hawa Mabedui, «Je mnampasha habari Mwenyezi Mungu kuhusu dini yenu na yaliyomo kwenye dhamiri zenu, na hali Mwenyezi Mungu Anavijua vilivyoko mbinguni na ardhini? Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu, havifichamani Kwake vilivyomo ndani ya nyoyo zenu vya Imani au vya ukafiri na vya wema au vya ubaya.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek