Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 10 - المَائدة - Page - Juz 6
﴿وَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَكَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَآ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡجَحِيمِ ﴾
[المَائدة: 10]
﴿والذين كفروا وكذبوا بآياتنا أولئك أصحاب الجحيم﴾ [المَائدة: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale waliokanusha upweke wa Mwenyezi Mungu unaoijulisha haki iliyo waziwazi na wakazikanusha dalili zake walizokuja nazo Mitume, hao ndio watu wa Motoni watakaosalia humo |