×

Na kuleni katika alivyo kuruzukuni Mwenyezi Mungu, halali na vizuri. Na mcheni 5:88 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma’idah ⮕ (5:88) ayat 88 in Swahili

5:88 Surah Al-Ma’idah ayat 88 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 88 - المَائدة - Page - Juz 7

﴿وَكُلُواْ مِمَّا رَزَقَكُمُ ٱللَّهُ حَلَٰلٗا طَيِّبٗاۚ وَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ ٱلَّذِيٓ أَنتُم بِهِۦ مُؤۡمِنُونَ ﴾
[المَائدة: 88]

Na kuleni katika alivyo kuruzukuni Mwenyezi Mungu, halali na vizuri. Na mcheni Mwenyezi Mungu ambaye mnamuamini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وكلوا مما رزقكم الله حلالا طيبا واتقوا الله الذي أنتم به مؤمنون, باللغة السواحيلية

﴿وكلوا مما رزقكم الله حلالا طيبا واتقوا الله الذي أنتم به مؤمنون﴾ [المَائدة: 88]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na mstarehe, enyi Waumini, kwa halali nzuri Aliyowapa Mwenyezi Mungu na kuwatunukia. Na mcheni Mwenyezi Mungu kwa kufuata amri Zake na kujiepusha na makatazo Yake. Kwani kumuamini kwenu Mwenyezi Mungu kunawalazimisha nyinyi kumcha Yeye na kumtunza
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek