Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 38 - قٓ - Page - Juz 26
﴿وَلَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَ وَمَا بَيۡنَهُمَا فِي سِتَّةِ أَيَّامٖ وَمَا مَسَّنَا مِن لُّغُوبٖ ﴾
[قٓ: 38]
﴿ولقد خلقنا السموات والأرض وما بينهما في ستة أيام وما مسنا من﴾ [قٓ: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika tuliumba mbingu na ardhi na vilivyoko baina ya hivyo viwili miongoni mwa viumbe kwa muda wa Siku sita, na hatukupata tabu yoyote wala shida. Katika uweza huu mkubwa kuna dalili ya nguvu zaidi ya kuwa Yeye, Aliyetakasika, Ana uweza wa kuhuisha wafu |