Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 37 - قٓ - Page - Juz 26
﴿إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَذِكۡرَىٰ لِمَن كَانَ لَهُۥ قَلۡبٌ أَوۡ أَلۡقَى ٱلسَّمۡعَ وَهُوَ شَهِيدٞ ﴾
[قٓ: 37]
﴿إن في ذلك لذكرى لمن كان له قلب أو ألقى السمع وهو﴾ [قٓ: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika katika kuziangamiza kame zilizopita kuna mazingatio kwa aliyekuwa na moyo wa kufahamia na mashikio ya kusikilizia, na akawa yupo kwa moyo wake, hakusahau wala hakughafilika |