Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 58 - الذَّاريَات - Page - Juz 27
﴿إِنَّ ٱللَّهَ هُوَ ٱلرَّزَّاقُ ذُو ٱلۡقُوَّةِ ٱلۡمَتِينُ ﴾
[الذَّاريَات: 58]
﴿إن الله هو الرزاق ذو القوة المتين﴾ [الذَّاريَات: 58]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Mwenyezi Mungu , Peke Yake, Ndiye Mwenye kuviruzuku viumbe Vyake, Ndiye Anayedhamini chakula chao, Mwenye nguvu Aliye Thabiti, Hatendeshwi nguvu wala hakuna Mwenye kushindana Naye. Ni Wake Yeye uweza wote na nguvu |