Quran with Swahili translation - Surah Adh-Dhariyat ayat 9 - الذَّاريَات - Page - Juz 26
﴿يُؤۡفَكُ عَنۡهُ مَنۡ أُفِكَ ﴾
[الذَّاريَات: 9]
﴿يؤفك عنه من أفك﴾ [الذَّاريَات: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Anaepushwa na Qur’ani na Mtume yule aliyeepushwa na lile la kuviamini hivyo viwili kwa kuzipa mgongo dalili za Mwenyezi Mungu na hoja Zake za yakini, na kwa hivyo haafikiwi kwenye kheri |