Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 18 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿فَٰكِهِينَ بِمَآ ءَاتَىٰهُمۡ رَبُّهُمۡ وَوَقَىٰهُمۡ رَبُّهُمۡ عَذَابَ ٱلۡجَحِيمِ ﴾
[الطُّور: 18]
﴿فاكهين بما آتاهم ربهم ووقاهم ربهم عذاب الجحيم﴾ [الطُّور: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watajistarehesha kwa vile Alivyowapa Mwenyezi Mungu vya neema miongoni mwa aina mbalimbali za ladha na starehe, na Atawaokoa mwenyezi Mungu kutokana na adhabu ya Moto |