×

Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio 52:35 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah AT-Tur ⮕ (52:35) ayat 35 in Swahili

52:35 Surah AT-Tur ayat 35 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 35 - الطُّور - Page - Juz 27

﴿أَمۡ خُلِقُواْ مِنۡ غَيۡرِ شَيۡءٍ أَمۡ هُمُ ٱلۡخَٰلِقُونَ ﴾
[الطُّور: 35]

Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أم خلقوا من غير شيء أم هم الخالقون, باللغة السواحيلية

﴿أم خلقوا من غير شيء أم هم الخالقون﴾ [الطُّور: 35]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Je, wameumbwa hawa washirikina bila kuwako mwenye kuwaumba na kuwapatisha au wao wamejiumba wenyewe? Na yote mambo mawili haya yametanguka na hayawezekani. Na kwa hivyo, inalazimika kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Aliyewaumba, na Yeye Peke Yake Ndiye Ambaye hakuna anayepasa kuabudiwa, wala kufaa kuabudiwa, isispokuwa Yeye
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek