Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 36 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿أَمۡ خَلَقُواْ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَۚ بَل لَّا يُوقِنُونَ ﴾
[الطُّور: 36]
﴿أم خلقوا السموات والأرض بل لا يوقنون﴾ [الطُّور: 36]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au wao wameumba mbingu na ardhi kwa utengezaji huu wa kipekee? Bali wao hawaamini adhabu ya Mwenyezi Mungu, kwa kuwa wao ni washirikina |