Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 37 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿أَمۡ عِندَهُمۡ خَزَآئِنُ رَبِّكَ أَمۡ هُمُ ٱلۡمُصَۜيۡطِرُونَ ﴾
[الطُّور: 37]
﴿أم عندهم خزائن ربك أم هم المصيطرون﴾ [الطُّور: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au wanazo wao hazina za Mola wako wanazitumia? Au wao ni majebari wanaowagandamiza viumbe vya Mwenyezi Mungu kwa kuwatendesha nguvu na kuwanyanyasa? Mambo si hivyo, bali wao ndio walemevu walio madhaifu |