Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 44 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿وَإِن يَرَوۡاْ كِسۡفٗا مِّنَ ٱلسَّمَآءِ سَاقِطٗا يَقُولُواْ سَحَابٞ مَّرۡكُومٞ ﴾
[الطُّور: 44]
﴿وإن يروا كسفا من السماء ساقطا يقولوا سحاب مركوم﴾ [الطُّور: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wakikiona hawa washirikina kipande cha mbingu kinawaangukia, kikiwa ni adhabu kwao, hawataacha yale waliyo nayo ya ukanushaji, na watasema, «Haya ni mawingu yamekusanyika na kupandana.» |