Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 43 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿أَمۡ لَهُمۡ إِلَٰهٌ غَيۡرُ ٱللَّهِۚ سُبۡحَٰنَ ٱللَّهِ عَمَّا يُشۡرِكُونَ ﴾
[الطُّور: 43]
﴿أم لهم إله غير الله سبحان الله عما يشركون﴾ [الطُّور: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au wao wana muabudiwa anayestahiki kuabudiwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu? Ametakasika Mwenyezi Mungu na kutukuka na yale wanayoshirikisha. Kwani Yeye Hana mshirika katika mamlaka, na Hana mshirika katika Upweke na ustahiki wa kuabudiwa |