Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 46 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿يَوۡمَ لَا يُغۡنِي عَنۡهُمۡ كَيۡدُهُمۡ شَيۡـٔٗا وَلَا هُمۡ يُنصَرُونَ ﴾
[الطُّور: 46]
﴿يوم لا يغني عنهم كيدهم شيئا ولا هم ينصرون﴾ [الطُّور: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Katika Siku hiyo havitawazuilia wao vitimbi vyao kotokana na adhabu ya Mwenyezi Mungu kitu chochote, na hatawanusuru yoyote kuwaokoa na adhabu ya Mwenyezi Mungu |