Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 47 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿وَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُواْ عَذَابٗا دُونَ ذَٰلِكَ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَهُمۡ لَا يَعۡلَمُونَ ﴾
[الطُّور: 47]
﴿وإن للذين ظلموا عذابا دون ذلك ولكن أكثرهم لا يعلمون﴾ [الطُّور: 47]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika madhalimu hawa watakuta adhabu duniani, kabla ya adhabu ya Siku ya Kiyama, ya kuuawa, kukamatwa mateka, adhabu ya kaburini na nyinginezo. Lakini wengi wa watu hawajui hilo |