Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 2 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿مَا ضَلَّ صَاحِبُكُمۡ وَمَا غَوَىٰ ﴾
[النَّجم: 2]
﴿ما ضل صاحبكم وما غوى﴾ [النَّجم: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr kwamba Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, hakupotoka kwenye njia ya uongofu na haki, na hakutoka nje ya njia ya usawa. Bali yeye yuko kwenye upeo wa unyofu, usawa na uthabiti |