Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 11 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿فِيهَا فَٰكِهَةٞ وَٱلنَّخۡلُ ذَاتُ ٱلۡأَكۡمَامِ ﴾ 
[الرَّحمٰن: 11]
﴿فيها فاكهة والنخل ذات الأكمام﴾ [الرَّحمٰن: 11]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Humo mna matunda na mitende yenye makarara ya matunda. Na humo kuna nafaka zenye maganda, vikiwa ni chakula chenu na wanyama wenu |