Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 17 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿رَبُّ ٱلۡمَشۡرِقَيۡنِ وَرَبُّ ٱلۡمَغۡرِبَيۡنِ ﴾
[الرَّحمٰن: 17]
﴿رب المشرقين ورب المغربين﴾ [الرَّحمٰن: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mola wa pande mbili za Mashariki ya jua, katika kusi na kaskazi, na Mola wa pande mbili za Magharibi ya jua, katika kusi na kaskazi, kwani vyote viko chini ya uendeshaji Wake na ulezi Wake |