Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 24 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿وَلَهُ ٱلۡجَوَارِ ٱلۡمُنشَـَٔاتُ فِي ٱلۡبَحۡرِ كَٱلۡأَعۡلَٰمِ ﴾
[الرَّحمٰن: 24]
﴿وله الجوار المنشآت في البحر كالأعلام﴾ [الرَّحمٰن: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni Yake Yeye, Aliyetakasika na kutukuka, mamlaka ya kuyaendesha majahazi makubwa yanayotembea baharini kwa manufaa ya watu, yenye kusimamisha juu milongoti yake na matanga yake kama vile majabali |