Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 42 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿فِي سَمُومٖ وَحَمِيمٖ ﴾
[الوَاقِعة: 42]
﴿في سموم وحميم﴾ [الوَاقِعة: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watakuwa kwenye upepo ulio moto utokanao na joto la Moto wa Jahanamu utakaozuia pumzi zao, na maji moto yanayochemka |