Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 69 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿ءَأَنتُمۡ أَنزَلۡتُمُوهُ مِنَ ٱلۡمُزۡنِ أَمۡ نَحۡنُ ٱلۡمُنزِلُونَ ﴾
[الوَاقِعة: 69]
﴿أأنتم أنـزلتموه من المزن أم نحن المنـزلون﴾ [الوَاقِعة: 69]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je ni nyinyi mliyoyateremsha kutoka kwenye mawingu hadi kwenye kituo cha ardhi au ni sisi tuliyoyateremsha ili kuwarehemu nyinyi |