Quran with Swahili translation - Surah Al-Waqi‘ah ayat 79 - الوَاقِعة - Page - Juz 27
﴿لَّا يَمَسُّهُۥٓ إِلَّا ٱلۡمُطَهَّرُونَ ﴾
[الوَاقِعة: 79]
﴿لا يمسه إلا المطهرون﴾ [الوَاقِعة: 79]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawaigusi Qur’ani isipokuwa malaika watukufu ambao Mwenyezi Mungu Amewasafisha na aibu na madhambi. Na pia hawaigusi isipokuwa watu waliojitohirisha na ushirikina na janaba na ukosefu wa udhu |